资讯

GALATASARAY imetuma ofa nyingine kwenda Napoli ambayo inaeleza imekubali kulipa Euro 75 milioni kwa ajili ya kumsajili ...
KIUNGO aliyemaliza mkataba Tanzania Prisons, Berno Ngassa amewataja wachezaji wanne aliyokuwa anawatazama kama mfano wa kuigwa wanavyocheza kimbinu na akili msimu uliyopita.
UONGOZI wa Dodoma Jiji unaendelea na maboresho ya nyota wapya ndani ya kikosi hicho na kwa sasa umeanza mazungumzo ya kupata ...
ILE vita ya kuwania kiungo Moussa Bala Conte kutoka Guinea, imeisha baada ya Yanga kumtambulisha rasmi leo mchana ikiizidi ...
MANCHESTER United imefikia makubaliano na Brentford dili la kumsajili Bryan Mbeumo baada ya mazungumzo ya zaidi ya mwezi ...
STAA, Bryan Mbeumo anatarajia kwenda kukabidhiwa jezi Namba 19 atakapojiunga na Manchester United, kutokana na namba huyo ...
ARSENAL ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha dili la Pauni 69 milioni la kumsajili straika Viktor Gyokeres baada ya gari ...
LAMINE Yamal amekabidhiwa jezi Namba 10 baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka sita kwenye klabu ya Barcelona licha ya ...
NYOTA wa Simba akiwamo Jean Charles Ahoua, Moussa Camara na wenzao wengine waitwa mapema kambini mwishoni mwa mwezi huu ili kujiandaa na maandalizi ya msimu mpya wa 2025-2026. Ofisa Habari ...
Timu ya Taifa ya Senegal itashiriki Mashindano maalum ya CECAFA yatakayo husisha mataifa manne kabla ya mashindano ya CHAN ...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Julai 15, 2025 ilipitia ...
TIMU yetu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imeshindwa kufua dafu katika Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024 zinazoendelea huko Morocco.