News
Wanafunzi wawili wa kidato cha nne shule ya sekondari Morogoro na dereva wa bodaboda waliyokuwa wamepanda wamefariki dunia ...
Kijana mmoja aitwaye Rajabu Musa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, baada ya kumshambulia ...
Kupanda kwa gharama za maisha kumeathiri wanafunzi vyuoni nchini Tanzania, baadhi wakilazimika kuahirisha masomo.
Jumla ya wavuvi 427, wakiwemo askari kutoka Jeshi la Magereza, wamekabidhiwa boti kumi katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Mkoa wa Shinyanga una jumla ya vituo 103 vya kulelea watoto wadogo mchana, ambapo ni vituo 51 pekee ndivyo vilivyosajiliwa ...
Watu watatu wamepoteza maisha na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo kuligonga lori kwa nyuma lililokuwa limesimama ...
Kiwanda cha kimkakati cha kutengeneza chaki kimeanza majaribio ya uzalishaji ambapo katoni za chaki 11,884 zenye thamani ya ...
Hofu imetanda jijini Arusha baada ya miili ya wasichana wawili kuokotwa, chanzo cha vifo vyao kikidaiwa ni kubakwa, ...
Tathmini ya uendeshaji wa maabara binafsi za afya, iliyofanywa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa ...
Mfanyabiashara mwenye asili ya Uturuki, Alptekin Aksoy (52) ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana waliokuwa ...
Wataalamu wa uchumi nchini wametoa maoni wakipendekeza namna ya kuwezesha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ...
Mkoa wa Dar es Salaam umeweka wazi maeneo 88 yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji na uendelezaji wa shughuli mbalimbali za ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results