资讯

Uhamisho wa Manchester United wa kumnunua mshambuliaji wa Brentford Bryan Mbeumo, 25, umekwama huku klabu hiyo ya London ...
MANCHESTER United imefikia makubaliano na Brentford dili la kumsajili Bryan Mbeumo baada ya mazungumzo ya zaidi ya mwezi ...
STAA, Bryan Mbeumo anatarajia kwenda kukabidhiwa jezi Namba 19 atakapojiunga na Manchester United, kutokana na namba huyo ...
Manchester United wameongeza rasmi ofa yao kwa mshambuliaji wa Brentford, Bryan Mbeumo, hadi kufikia Pauni milioni 70 (Sh245 bilioni) katika juhudi mpya za kumaliza mkwamo uliodumu kwa ...
Brentford imeshampata mchezaji ambaye inamtazama kuwa mwafaka wa kuja kuchukua mikoba ya Bryan Mbeumo, ambaye anahusishwa na ...
Mshambuliaji wa Brentford na Cameroon Bryan Mbeumo, 25, anapigiwa upatu kuelekea Manchester United badala ua Tottenham Hotspur, licha ya mkufunzi wake wa zamani Thomas Frank kujiunga na Tottenham.