资讯
Wanafunzi wawili wa kidato cha nne shule ya sekondari Morogoro na dereva wa bodaboda waliyokuwa wamepanda wamefariki dunia ...
Kijana mmoja aitwaye Rajabu Musa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, baada ya kumshambulia ...
Jumla ya wavuvi 427, wakiwemo askari kutoka Jeshi la Magereza, wamekabidhiwa boti kumi katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Kupanda kwa gharama za maisha kumeathiri wanafunzi vyuoni nchini Tanzania, baadhi wakilazimika kuahirisha masomo.
Mkoa wa Shinyanga una jumla ya vituo 103 vya kulelea watoto wadogo mchana, ambapo ni vituo 51 pekee ndivyo vilivyosajiliwa ...
Watu watatu wamepoteza maisha na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo kuligonga lori kwa nyuma lililokuwa limesimama ...
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Mbeya limezifungia leseni 42 za madereva, wakiwemo madereva wa ...
Mkoa wa Dar es Salaam umeweka wazi maeneo 88 yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji na uendelezaji wa shughuli mbalimbali za ...
Hatua ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, ...
Kiwanda cha kimkakati cha kutengeneza chaki kimeanza majaribio ya uzalishaji ambapo katoni za chaki 11,884 zenye thamani ya ...
Vijana 70,000 wanatarajiwa kunufaika na mradi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (TVET), utakaotolewa na Wakala wa ...
Ujenzi wa Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ya Mkoa wa Mara iliyoanza kujengwa mwaka 1975, imeanza kutoa hudumu huku ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果